UPDATES: SAED KUBENEA AKAMATWA, AUNGANISHWA KWENYE KESI YA MDEE


Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amekamatwa na Jeshi la Polisi kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, baada yake kujumuishwa kwenye kesi ya Shambulio la Kudhuru Mwili inayowakabili wabunge wengine wa CHADEMA, Halima Mdee, Mwita Waitara na madiwani kadhaa wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

CHANZO: JAMII FORUMS
Post a Comment
Powered by Blogger.