TAZAMA HAPA RATIBA YA ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Droo ya Kupanga Mechi za Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya, imefanyika leo Ijumaa, Nchini Nyon, Switzerland ambayo ipo hapa.

Mechi ambayo inaonekana kuwa gumzo ni ile kati ya Barcelona dhidi ya Atletico Madrid zote za Hispania.
Post a Comment
Powered by Blogger.