PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA TISA(9)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Tuliangaliana kwa muda kila mmoja akimtegea mwenzake azungumzie lile swali la kaka " Mme wangu na wewe bana,sasa hapo tu tumechelewa?" akauliza shemeji " Ndiyo,wee unaona hamjacheelewa? Wateja nimefika wamejaa sana hapa nje " akaongea kwa kulalamika " Basi yaishe mme wangu kipenzi,sio vizur kulumbana mbele ya watu jaman" akasema shemeji " 
Poa usijal mke wangu,dogo endelea na shemeji yako hapa me natoka kidogo" akasema Uzuri wa kaka kwa mkewe alikuwa kafika,alikuwa hana usemi hata kidogo na alimwamin mkewe kuliko kawaida kwa sababu katika maisha yao ya ndoa hawakuwahi kuhisiana kama wanasalitiana. Niliingia ndani na kuanza kuchapa kazi mpaka kaka alipoondoka tukaanza kuongea na shemeji " We kuku naye unaogoopa kama uko kituoni" akasema " Amna bana si unajua siku zote ukiwa na hatia kiu kidogo lazima ujishtukie" nikamjibi Akacheka sana huku akiendelea kunitania kwa kuonesha uoga ule "
 Unajua mme wangu ananiamin sana na hata mimi pia ninamuamin sana hivyo ni ngumu kunifikilia vibaya,hebu fikilia kama hawezi kunifikilia vibaya kwa watu wa nje je wewe mdogo wake wa damu?" akasema shemeji " Sawa ila elewa hakuna marefu yasiyo na ncha" nikamjibu " Kwa hiyo tuache sasa kabla hatujafikia hiyo ncha yenyewe" akajibu shemeji " Hapana bwana nakutana baby,me siko tayali kuyakosa yale mambo mataam vile" nikamjibu Tuliendelea kupiga kazi na shemeji kwa amani Mchana tuliagiza chakula na kula pamoja,kilichotusaidia hata kabla ya kuwa wapenzi mimi na shemeji tulikuwa tunapenda sana kutaniana hivyo watu walishindwa kututafsiri vibaya hata wakati huu.

Jioni tuliongozana kuelekea nyumbani na kumkuta kaka ameshafika tayali na yuko kwenye maandalizi ya mwisho ya safari yake. Nilichkua zile nguo za kaka na kumnyosheana huku yeye na shemeji wakiwa chumbani na shughuli zao nilipomaliza niliwakabidhi na kuwaaacha kisha nikatoka na kupiga misele mtaani kidogo Nilimtembelea mshikaji wangu mmoja na kupiga naye story kidogo na nikamchimba chimba juu ya swala la mapenzi " 
Hivi mwanangu kwenye swala la mapenzi mademu wote ni wataam?" nilimuuliza " Hapana mwanangu sio wote,itategemeana wewe unapenda madem wa aina gani" akanijibu " Mfano sasa ni madem gani ni watam sana?" akauliza "Madem wenye maumbile ya ndani makavu na yenye mnato ni watam balaa ila wale wenye maji mengi wala sio watam kabisa" akajibu " Lakin kuna madem wengi tu watam?" nikamuuliza ili nijue kama shemeji peke yake ndiye mtam
 " Ndiyo wapo kibao watam kwani vip?" akajibu na swali juu " aah Hapana nilitaka nijue tu" nikamjibu Nilitoka pale jioni sana na kurudi nyumbani nikakuta chakula kimeshaivishwa tayali Tuliingia mezani na kupata chakula kwa pamoja ila siku hiyo aibu ilikuwa ilishaniishia kabisa hivyo nilikuwa napiga sana story Tulipomaliza kula tulielekea sebuleni na kupiga story mbili tatu juu ya safari ya kaka Cha ajabu mimi na shemeji tulionesha uchangamfu mkubwa sana tofauti na safari zote alizokuwa akiondoka kaka " Naomba niwaulize swali jaman" akasema kaka " Uliza tu kaka" nikajibu fasta " Mbona safari hii mmefurahia sana hii safari yangu? Wakatio safari zingine mlikuwa mnanuna sana?" akauliza Kila mmoja aikuwa bubu!

ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.