PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA NANE(8)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Nilishtuka sana kukuta nimejichafua vile na muda huo huo kaka akazidi kugonga " Dogo vip? Unaota?" aliuliza " Ndo naamka kaka nakuja" nikajibu " Basi me natangulia,nilikuja kukuamsha kuna kazi nataka unisaidie" akasema " Poa nakuja" nikajibu Niliamka na kuchukua vitu vya kuogea kisha nikaelekea bafuni kujisafi ili niwe poa. Nilipomaliza ndipo nilipoelekea nyumba kubwa nikakuta wenzangu wameshakunya chai tayali hivyo nikakaa mezani peke yangu na kupata chai.
 Muda mfupi baadae bro alitoka na shemeji na wakanikuta nakunywa chai mwenyewe. " Dogo leo nitakuwa busy nashughulikia taratibu zangu za safari hivyo utampeleka shemeji yako kazini kisha utamsaidia mpaka nitakapokuja" aliongea kaka " Poa haina shida" niliitikia kwa furaha tofaut na zaman kwa sababu wakati huo pia nilihitaji kuwa kalibu na shemeji Nilipomaliza kunywa chai nilielekea chumbani kwangu na kujiandaa kisha nikamfata shemeji.
 " Shem me niko tayali naomba tuondoke tafadhali" nilimwambia nikiwa nje ya mlango wa chumba chao " poa nakuja" akajibu Niliondoka na kwenda kumsubiri kwenye gari. Muda mfupi baadae alitoka na kuingia kwenye gari huku akinikabidhi funguo " Sema kuku wa kienyeji" alitania " Ni maumivu tu,yaan basi tu" nikamjibu " Hii sio sehemu muafaka,tuondoke" akajibu 

Nikaondoa gari moja kwa moja kuelekea kati kati ya mji " Simamisha kidogo pembeni" aliniamrisha Nilipopaki gari pembeni alinivuta na tukaanza kubadilishana denda taratibu Nilisisimka kila kiungo cha mwili wangu,nikatamani anipe pale pale kwa sababu shemeji alikuwa mjanja mjanja sana,kipindi tukipata denda alikuwa anatembeza mikono yake sehemu mbali mbali za mwili wangu.
 " Shem unanipa wakati mgumu sana,unajua usiku wa leo umekuwa mgumu sana" nikamwambia " mmmmmh! Kivip kuku wangu wa kienyej? Umeniota si ndiyo?" akauliza " Ndiyo umejuaje?" nikamuliza " Kakako amekuja akaniambia amekukuta unaota unasema unamaliza,ulikuwa unamaliza nini?" akauliza "Bana nimeota unanipa mambo si ndo bro akanikuta namaliza mchezo" nikamjibu Alicheka sana huku akiniangalia,niliona aibu kumweleza shemeji kitu kama kile ila nikashangaa shemeji akizamisha mkono wake ikulu na kutoa mkongojo kisha akaanza kuuchezea
 " Ngoja nikuuliza? Hivi sio wewe uliyesema utanipa mara moja tu af tuache sasa mimi sitaki tena" aliongea kwa utani " Me sikuachi bana bora liwalo na liwe,ulimwaga mboga me namwaga ugali lazima uendelee kunipa utam" nikamjibu kiutani " Poa usijal shem twende tukapige kazi af tutatoka kidogo nikakuonjeshe,ila ungesubir kakako aondoke jaman" akajibu "
 Sawa bana ila baada twende tu unionjeshe,unajua shem niseme ukweli wangu wewe ni mtam sana,sijawahi kufikilia kuwa hapa dunian kuna raha kama hii,aisee ni taam sana!" nikamjibu " Poa endesha gari twende tukipata chance tutaenda bas" akasema Niliendesha gari haraka kwa sababu tulikuwa tumeshachelewa kwenye kazi. Tulipofika kazini tulikuta duka likiwa wazi tayali tukashangaa imekuwaje na nani kalifungua Tuliposhuka kwenye gari tukashangaa kumkuta kaka ameshafika tayali " Vip? Mlikuwa wapi? Mbona mmechelewa hivyo?" alituuliza Kila mmoja alishikwa na kigugumizi!!!

ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.