PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA KUMI NA SABA (17)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Machozi yalitililika mashavuni pangu na mimi sikuona haja ya kuyazuia,ilikuwa ni halali kwakwe kuchuluzika. Niliutafakari sana upendo wa kaka kwangu,nilifeli kidato cha nne na baba akachukia sana na kuamua kutojihusisha na mimi kwa namna yeyote ile. Hata pale nilipomuomba anipeleke kozi ya udereva bado alikataa,aliamin nilipaswa kukaa kijijini na kulima peke yake. Ila kaka alikuja kuwa mkombozi wangu sana,ndiye aliyemwelimisha baba kuwa kufeli darasani sio mwisho wa maisha Kuna watu wamefanikiwa sana maishani bila Elim. 
Alimtajia matajili wote anaowafaham kuwa hawakusoma lakini wana mafanikio maishani,Bill Gate,Abromovic,Bhakresa na akina Ghachuma,hawakuwenda shule ila wana maisha mazur na ni matajili. Hapo ndipo akili ya baba ilipofunguka na hata kaka aliponiomba niende naye Dar mzee hakuwa na pingamizi ya aina yeyote Nikifikilia huko alikonitoa na keshaniahid kunifungulia biasara yangu,nikaona haina haja ya kumuua. 
Nilikata shaur na kupingana na yule mwanamke,na ili nimkabili vizuri nilipaswa kunywa pombe " Nasikia pombe inaondoa aibu,ngoja nikajalibu kisha nimvae huyu malaya" niliwaza Niliendesha gari taratibu nikiendelea kuwaza mpaka Meda Pub na kutafuta eneo zuri nikakaa na kuagizi Safari Lager. Sikuwa na uzoefu wa kujua ipi inalewesha na ipi haileweshi Nilipomaliza hiyo nikaagiza Kilimanjaro,kisha Balimi na baadae Ndovu. 
Niliendelea kubadilisha hivyo hivyo maksudi yangu ni bahatishe itakayonilewesha Nilianza kuchangamka baada ya kunywa bia kadhaa,nikajikuta nakuwa na tabia kama za walevi. Wahudumu wakipita nawashika matako na anayesogea namchezea sehemu mbalimbali kisha namtukana na kumfukuza Saa mbili ya usiku ilinikuta pale pale Bar nikiendelea kunywa saa tatu ilipofika ndipo nikajikokota na kuelekea kwenye gari ili niendeshe na kurudi nyumbani 

Nilishangaa nguvu zikiniishia na kisha kuanguka chini Bahati nzuri kukawa na jamaa msamaria akanikokota na kunipandisha kwenye gari Aliniuliza napoishi nikamwelekeza kwa shida sana,ila hakupaelewa mpaka nasinzia,alichofanya ni kuchukua simu yangu kisha akaangalia no iliyopiga zaidi na kukuta ni sem Alimpigia na kuelekezwa nyumbani na yeye akaendesha gari na kunipeleka mpaka nyumbani.
 Baada ya kunifikisha shemeji alimshukuru na kumpa kifuta jasho kisha akanikokota mpaka chumbani kwake na kunilaza ktandani. Shem alijalibu kuniongelesha ila ikashindikana kwa sababu nilikuwa hoi. Alikaa kitandani kwa muda mrefu kisha akapa wazo na kuamka na kwenda nje. Aliporudi alikuwa na kamera yake ,akanilazimisha na kuninywesha kakidonge kadogo kweli. Kisha akavua nguo na kwenda kuwasha ile kamera yake ikielekezwa pale kitandani. Alikuja na kunivua nguo zote na kisha kuanza kunichezea,
 Taratibu hisia zikawa zinapanda taratibu mpaka nikajishangaa Kumbe shem alinipa kidonge cha kuongeza ham ya kufanya mapenzi Baada ya muda mfupi nikajisikia ham ya kufanya mapenzi na pale pale shemeji akavaa nguo zake Kutokana na hali niliyokuwa nayo sababu ya ile dawa nilimvagaa kwa nguvu na kumchania zile nguo huku kamera ikirekodi Kisha nikapambana naye huku akilia na kunizuia nisimbake ila nikafanikiwa kuingiza mashine " Shemeji kweli unanibaka ? Au kwa sababu kaka yako hayupo jaman" alilia wakati nikishughulika Nikaingia kwenye mtego kilain!

ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.