PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA KUMI NA NANE (18)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Bila kujua kama ule ni mtego niliendelea kushughulika juu ya kifua cha shemeji huku akiendelea kulalamoka " Sikutegemea hili kabisa,yaan shemeji umefikia hatu ya kunibaka mimi mke wa kaka yako?.....Lazima kakako anipe taraka,siwez kuvumilia aibu hii" aliendelea kulalamika Sikusikilza maneno yake,niliendelea kushughulika nikiamin yale anayoyasema ni kwa sababu raha zimemzidia. Baada ya kumaliza niliangukia upande wa pili wa kitanda na kisha usingizi ukanipitia Shemeji yeye aliamka na kisha akachukua ile kamera na kuizima kisha akaingia kitandani na kulala. 
Asubuh ya saa kumi na moja aliniamsha na kisha tukaendelea kushugulika na wakati huo shemeji hakuonesha tena tofauti bali alionesha ushilikiano wa kutosha sana Nilifurahia penzi la shemeji asubuh ile kwani tulifanya kwa muda mrefu sana mpaka kila mmoja akatosheka. Kama kawaida yake alinibeb mpaka bafuni na kuniogesha kama mtoto mdogo huku mimi ni kifurahia hali ile Baada ya kuoga mimi nilirudi kulala huku shemeji akielekea kumsaidia binti wa kazi kuandaa kifungua kinuwa Niliamshwa saa kumi na mbili na nusu hivi nikakuta mezani nikakuta shemeji ameandaa kifungua kinywa kizito. 
Nilipiga supu kwa fujo kwa sababu ya zile pombe nilizokunywa jana Kuna kitu kilinichanganya sana pale mezani,yule binti wa kazi alikuwepo na alikuwa anaona aibu sana Shemeji naye ni kama hakumuogpa kwani alikuwa akinilisha na kunikalia apendavyo. Kwa sababu nilikuwa kama ng'ombe pale basi nilitulia tu na kuangalia mchezo unavyoenda ila kwenye akili yangu nilishapanga kumkatalia shemeji swala la kumuua kaka Baada ya chai tuliondoka na kuelekea kazini huku njia nzima tukiwa kimya.

Nilishangaa kwa sababu shemeji hakuniuliza chochote ilihali mimi nilitegemea aniulize uamuzi wangu. Tulipofika kazini tulipiga kazi bila tatizo huku mawasiliano yetu yakiwa vizur ingawa hatukuulizana chochote. Mchana tulikula pamoja kama wapenzi kama kawaida muda huo wote shemeji akinionesha upendo kama kawaida Jioni baada ya kufika nyumbani ndipo timbwili lilipoanza rasmi Yule binti wa kazi alipumzishwa kupika na shemeji akaniomba twende kupika pamoja " Nataka leo nikupikie chakula cha kipwani ukiona,usije sema umewekewa limbwata sababu nyie wabara hamchelew" akasema Tulielekea jikoni kwa pamoja na kupika wali nazi na makorokocho kibao " 
Shem umefikia wapi juu ya lile swala?" aliniuliza shemeji " Swala gan shem?" nikajifanya kutoelewa " Kuhusu kumsaidia kakako na yeye apumzike?" akasema " Una maana kumuua?" nikauliza " Ndiyo au unafikiria nini?" akasema " Siwez kumuua kakangu,yule ni ndugu yangu nampenda sana na isitoshe ni dhambi kwa Mungu,kwenye mauaji simo na ukimuua nitakugeuka na kukuripot" nikamjibu kwa kujiamin 
Alichofanya ni kunishika mkono kisha akanivuta mpaka chumbani kwake Alinikalisha kwenye kitanda kisha akaichukua deki na kuweka CD aliyoitoa kwenye mkoba wake Ile cd ilipoanza kucheza nilitaman ardhi ipasuke Kumbe shem kuna kijana alikuja kazini akampatia ile cd na kwenye kuifanyia editing na kutoa sehem ambazo zilionesha ushiliki wake kwenye tukio na kuacha sehemu aliyoanza kulalamika nambaka mpaka namaliza mambo Cd ilionesha nimembaka shemeji yangu! Nilihisi kizungizungu! " Unashilikiana na mimi? Au hutaki?" aliniuliza

ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.