PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA KUMI (10)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu." Dah! Kaka wewe naye? Zaman tulikuwa wajinga ila sasa tunajua hapa unatengeneza maisha af isitoshe unaenda muda mfupi kwa ajili ya biashara so kwa nn tuchukie?" nikajalibu kujitetea " Ila nyie! Mmmh! Mnanitisha bana" akasema " Naona umeanza kunikosea adabu" aliongea shemeji na kwa hasira akaondoka kuelekea chumbani " Duuu! Kaka umeyakologa" nikamwambia " aiseee shemeji yako ana hasira za haraka sana yaan basi tu" akasema kaka " Kambembeleze bana yataisha" nikamwambia kaka " Poa dogo ngoja nimbembeleze basi" akasema 
Aliondoka na kuelekea chumbani na wakati huo huo nikapokea sms kutoka kwa shemeji " Naona huyu anaweza kutushtukia inabidi nimletee vurugu ili asitushtukie baby" Baada ya kuisoma ile sms nilicheka mwenyewe kisha nikaifuta pale pale. Nilibaki peke yangu nikiangalia movie wakati nasubir hatima ya hao huko chumbani. Baada ya muda walitoka pamoja huku shemeji akionekana bado kuwa kachukia sana " Vip jaman? Mbona hasira hivyo?" nikauliza " 
Dogo shemeji yako kanuna sana mbembeleze bana me namwambia namtania haelewe" akasema kaka " Shem punguza hasira bana,kaka alikuwa anatania" nikamwambia shemeji " Me sipendi utan wa kijinga bana,huo utaanza kama utan baadae utaona yanakuwa mengine, me sipendi kuishi maisha ya kutokuaminiana" akasema kwa hasira shemeji " 
Basi shem yaishe naamin kaka alikuwa anatania" nikasema " Poa yameisha ila me sitaki tena matan ya kijinga" akajib Tuliendeelea kuangalia tv tukipiga stor juu ya safari ya kaka ila bado shemeji alionekana kuwa na hasira " Mbona bado una hasira mke wangu jaman? Cheka basi" akasema kaka " Kama unataka nisiwe na hasira inabidi uniruhusu ukiondoka nile kuku wa kienyeji" akasema shemeji huku akinikonyeza Nilihamisha uso wangu na kuangalia pembeni ili kaka asije akashtukia " 

Kuku wa kienyeji tu? Kwa nini usisubir tuje kula pamoja kwa furaha?" akasema kaka bila kujua shemeji alimaanisha nini? " Basi me naendelea kuchukia" akaongea kwa kudeka shemeji " Tatizo ni kuku wa kienyeji pekee?" akauliza kaka " Ndiyo we hujui kuwa mtaam sana hasa nikimla peke yangu?" akajibu shemeji tena kwa kudeka "Basi poa wewe kla na mimi nitakula kuku wa kisasa huko nakoenda" akasema kaka Tulishtuka sana kusikia kaka anasema hivyo kwa sababu kweli alikokuwa anaenda angekutana na kuku wa kisasa peke yake " 
Me siko tayali,yaan kisa me nimekwambia nitakula wa kienyeji we ndo ukale wa kisasa?" akafoka shemeji kwa wivu Malumbano yaliibuka pale sebuleni kwa muda ila kwa sababu kaka kwa shemeji alikuwa haongei alikubali yeye kutokula kuku wa kisasa huko ila mkewe ale wa kienyeji huku. Baada ya muda kaka aliaga kuwa anasikia uchovu ngoja atangulie chumbani kulala baada ya kaka kuondoka shemeji alimwongelesha ili ajue kama kalala 
"Wewe umelala kweli jaman mapema hivyo?" aliongea shemeji " Ndiyo bana,me nasafari siwez kukesha wewe endelea" akajibu kaka kutoka chumbani Pale pale shemeji aliamka na kuja kwenye sofa niliyokaa kisha akanikalia Pale pale akasogeza mdomo wake kwangu na tukaanza kupata denda pamoja.

ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.