MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » MWANARIADHA WA TANZANIA ALPHONCE FELIX AREJEA NCHINI BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA TATU KATIKA MASHINDANO YA LAKE BIWA MARATHONI YA NCHINI JAPAN


Pamoja Blog 3/09/2016 12:00:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Felix akirejea nchini akitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akisalimiana na mdau wa riadha ,Whileam Gidabuday aliporejea nchini akitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19.

Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix (katikati)  akiwa na kocha wa timu ya taifa ya riadha Francis John waliporejea nchini wakitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akimkabidhi rais wa shirikisho la riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka ngao ya ushindi wa nafasi ya tatu aliyopata katika mashindano ya Lake Biwa Marathon yaliyofanyika nchini Japan.
Wanariadha wa timu ya taifa ya riadha wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa tatu wa mbio za marathoni za Lake Biwa .Alphonce Felix.
Wanariadha wa timu ya taifa ya riadha wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa shirikisho la Riadha Tanzania ,Anthony Mtaka pamoja na mshindi wa tatu wa mbio za marathoni za Lake Biwa .Alphonce Felix.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akionesha zawadi aliyopewa baada ya kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Lake Biwa Marathon ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments