KONGAMANO LA WANAWAKE SERENA HOTELI LAFANA
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Keki ikikatwa na Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership kwa kushirikiana-na-Shamim Khan kulia na Edna Mdoe kutoka Tazania women Interfaith Network.
Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8















Belinda Mlingo Katibu wa NGO ya TASOI
Dr Chris Mauki Kutoka chuo Kikuu cha Dar essalaam


Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership
Post a Comment