JAMAL MALINZI AMETUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA GIANNI INFANTINO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametumia salamu za pongezi kwa Gianni Infantino kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) mwishoni mwa wiki nchini Uswisi.

Malinzi amesema TFF ina imani na ahadi zake za kuendeleza mpira wa miguu, na kwa niaba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ataendelea kushirikiana naye katika kila jambo katika nafasi yake hiyo na kumtakia kila la kheri na mafanikiko mema.
Hii ndo barua ya pongezi kwa Gianni Infantino
Post a Comment
Powered by Blogger.