IBADA MAALUMU YA KUMUAGA ALIYEKUA MKUU WA WILAYA YA NJOMBE MAREHEMU SARAH DUMBA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mkuu wa Wilaya ya Ileje Rosemary Staki pamoja na Wakuu wa Wilaya kutoka Wilaya mbalimbali wakiongozana na vijana wa Scauti waliobeba mashada kuelekea kanisani tayari kwa ibada.
Vijana wa Scauti wakiwa wamebeba jeneza lililohifadhi mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe Marehemu Bi. Sarah Dumba mara baada ya kuwasili nje ya viwanja vya kanisa la Kiinjili la Kilutheri Mkoani Njombe.


Baadhi ya Wananchi waliohudhuria kwenye ibada ya kumuaga Marehemu Sarah Dumba.

Wanafamilia wa Marehemu Sarah Dumba wakionesha sura za huzuni na Majonzi baada ya kuondokewa na mpendwa wao.


Viongozi wa dini wakiongozwa na Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Mkoa wa Njombe Askofu Isaya Japhet Malenge wakiombea dua mwili wa marehemu.
Post a Comment
Powered by Blogger.