WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA MIRADI YA KIUCHUMI MTWARA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mtambo wa kuchakata gesi wakati alipoutembelea Februari 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Add Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akitembelea bandari ya Mtwara Februari 27, 2016.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa kampuni ya TPDC baada ya kuwasili kwenye mtambo wa kuchakata gesi wa Madimba, Mtwara Vijijini kukagua shughuli za gesi Februari 27, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TPDC baada ya kutembelea mtambo wa kuchakata gesi wa Madimba, Mtwara Vijijini Februari 27, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mtambo wa kuchakata gesi wakati alipoutembelea Februari 27, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na walimu na wakufunzi wa Chuo cha Elimu cha Mtwara baada ya kuzungumza nao chuoni hapo , Februari 27, 2016. 

Post a Comment
Powered by Blogger.