WAZIRI MKUU MAJALIWA AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KUWAIT, MAHADHI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe Mahadhi Juma Maalim  ambaye alikwenda  ofisini kwa  Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe. Mahadhi Juma Maalim ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment
Powered by Blogger.