MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» »Unlabelled » WAIMBAJI WAWILI WA BENDI YA KALUNDE WAKAMATWA KWA KOSA LA KUISHI NCHINI BILA KIBALI


Pamoja Blog 2/12/2016 05:35:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Jeshi la Uhamiaji limewakamata waimbaji wawili wa bendi ya Kalunde kwa kosa la kuishi na kufanya kazi nchini bila kibali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Uhamiaji, tarehe 10 mwezi huu waliweza kuwakamata watu hao wakiishi nchini na kufanya kazi bila bila kibali.
Akizungumza na mtandao huu leo Ijumaa, Mmiliki wa bendi ya Kalunde, Deo Mwanambilimbi amethitisha kukamatwa kwa watu wake.
“Kweli ni watu wangu, lakini kwa sasa naomba tuache vyombo vya sheria viendelee na kazi yake,” alisema Deo.

CHANZO: BONGO 5

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments