TUME YA UCHANGUZI YAMTANGAZA RAIS MUSEVENI KUWA MSHINDI WA URAIS

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameshinda awamu ya tano ya urais na kupata fursa ya kuongeza muda wake aliofikia wa miaka 30 akiwa madarakani.

Kiongozi huyo mwenye miaka 71, amepata kura asilimia 60.75, huku mpinzani wake mkuu Kizza Besigye akipata kura asilimia 35, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi ya Uganda.

Hata hivyo Besigye ambaye amezuiliwa nyumbani kwake amepinga matokeo hayo na kuitaka jumuiya ya kimataifa nayo kupinga ushindi wa rais Museveni.
Post a Comment
Powered by Blogger.