"PENZI LA SHEMEJI" SEHEMU YA PILI(2)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Nilijikuta kwenye wakati mgumu sana wa kimaamuzi juu ya lile swala, " Unajua nilishachoka kukubembeleza Jun,unaishi kwangu kila kitu unachofanya ni kwa pesa yangu,mimi nakuomba unipe mara moja unajifanya mjanja sio?" aliongea kwa jazba shemeji mpaka nikaogopa " Shem nikupe nini jaman?" nikauliza " Nataka kulionja penzi lako,nakuahid mara moja tu na sitarudia tena" akasema Niseme ukweli tangu nimezaliwa nilikuwa nimeshatembea na msichana mmoja peke yake kule kijijini kwetu hivyo alilotaka shemeji hata raha yake sikuijua sana ndo maana nikawa nashangaa alivyokomaa shemeji " 
Lakin shemeji, kaka mbona ni handsome na mnafanya ina maana huridhiki?" nikamuuliza " Sitaki umuongelee kakako hapa,umesikia?" akafoka " Samahani basi shem" nikamtaka radhi " Jun natoa simu hii hapa,nahesabu mpaka tatu uwe umenikumbatia na kunipa denda moja..." alitoa simu yake na kisha akaanza kuhesabu " Mbili......" " Ta......" hakumaliza kusema nikamkumbatia.
Alinipokea mzima mzima na kusogeza mdomo wake kalibu na wangu kisha akalazimisha kuzamisha ulimi wake kwenye mdomo wake,sikuwahi kufanya kitu kama hicho hivyo nilipambana mpaka akashindwa kutimiza azma yake " Wee vip?" akafoka kwa hasira " Me naona kinyaa bana,nitafanya unachotaka ila hili nisamehe" nikasema Ukweli tangu nimezaliwa sikuwahi kupewa denda na mtu yeyote yule hivyo niliona kama kinyaa kufanya hivyo

 " Shem na muda wote uliokaa hapa mjini bado ni mshamba hivyo?" akasema " Hata kama bana me sijazoea" nikasema " Kwa hiyo unamaanisha wewe bado ni kuku wa kienyeji?" akauliza " Kuku wa kienyeji kivip? Sijakwelewa?" nikasema " Ina maana haujawahi kufanya mapenzi?" akauliza " Mapenzi nilishafanya mara moja ila hayo mambo mabaya unayotaka me siwezi kufanya sijazoea" nikamjibu " Waaoooooh! Nasikiaga kuku wa kienyeji watam sana,,dah!
Nashukuru kukupata,niahid kakako akiondoka utanikuna basi?" akasema " Af me sipendi uniite kuku wa kienyeji bana, wee umeomba mara moja bana me nitakupa mara moja tu af tunaacha" nikasema " Jidanganye hahahahahaha! Ukionja utaacha? Nikupe ile style ya mdodoso af nikugeuze chuma ulete nije kukumalizia na kalichumbage af useme utaonja mara moja? Tena kuku mwenyewe wa kienyeji? Subir tuone" aliwaza shemeji peke yake " Usijal ni mara moja tu na hatutarudia, endesha gari twende" akasema Kwa akili yangu ya kijinga na kishamba na mimi niliamin kweli kuwa tutafanya mara moja kisha tuache. 
Nilimwendesha mpaka katikati ya mji kisha nikasindikiza kwenye maduka yote aliyokuwa anafanya shipping Nilishangaa kuona ananunua nguo za ndani za kiume " Shem huon aibu kununua nguo za kiume?" nilimnong'oneza " Wee kweli kuku wa kienyeji,cha ajabu nini?" akasema kwa sauti mpaka nikaona aibu Tulipomaliza ile shopping turilud kwenye gari kabla ya kuondoka " Nimekununulia zawadi mpenzi" akasema " Shem bana me tena mpenzi, acha bana sio vizur" nikasema Akatoa zile boxer na kunikabidhi " Acha ushamba kuku wa kienyeji nataka uwe kuku wa mayai, hizi ni za kwako utazivaa siku ya gemu yetu na kumbuka tukiwa wenyewe niite baby" akasema Nikashikwa na mshangao!!!!!

ITAENDELEA IJUMAA USIKOSE
Post a Comment
Powered by Blogger.