"PENZI LA SHEMEJI" SEHEMU YA KWANZA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 " Naomba umsindikize shemeji yako tafadahali Jun" alinambia kaka " Haina tatizo kaka" nikamjibu kaka Niliingia chumbani na kuwaza sana namna nitakavyofanya ili nisijikute kwenye vishawishi ambavyo nimekuwa nikivipata kutoka kwa shemeji yangu yule. Baada ya kujiandaa nikaondoka na kwenda kuchukua funguo kwa kaka kisha nikaingia kwenye gari nikimsubiria. 
Dakika chache akatoka na kisha akarudi tena ndani,kama kawaida ya wanawake kujiandaa huwa inachukua muda mrefu saana ndivyo ilivyokuwa kwa shemeji. Alipomaliza aliingia kwenye gari na kisha nikawasha na kuondoa gari taratibu sana Kaka alinipendea kitu kimoja,kwenye uendeshaji wa gari nilikuwa makini sana. 
Shemeji alipoingia kwenye gari na kukaa kanguo alikokuwa amevaa kalikuwa kafupi sana na kakapanda na kuyaacha mapaja yote wazi Nilijikuta kwenye wakati mgumu sana kuyaakwepesha macho yangu ili nisiyaangalie yale mapaja meupe yasiyo na doa. " Ila kaka ananitafuta ubaya tu,kweli unamwacha mkeo atoke kwenda matembezi na kanguo kadogo hivi? 
Dah! Basi tu" niliwaza mwenyewe " Vipi shem? Mbona una aibu hivyo? Kua basi na wewe" akasema Shem " Hapana shem mbona kawaida" nikamjibu Niliendesha gari taratibu tukielekea katikati ya mji ili shemeji akafanye shopping zake. " Shem nikwambie kitu kizur?" akauliza Shem " Niambie shemeji yangu" nikasema " Unajua kuwa kaka yako wiki ijayo anasafiri?" akasema " Sijui! Ila hilo kwani ni jambo zuri?" nikamuuliza " Af wewe shemeji sijui akili yako ikoje? 

Hivi nifanye nini ujue nakupenda?" akasema " Kati ya kaka na mimi unampenda nani?" nikamuuliza " Nakupenda wewe"akasema " wa kupimwa wewe sio mzima,yaani unapenda mtu mwingine tofaut na mmeo wa ndoa? Unakichaa si bure" nikasema " Shem acha utoto,kwani mimi dada yako? Au unafikiri haitaingia? Em jalibu uone kama itagoma kuingia" akasema " Lakini si unajua kuwa wewe ni mke wa kaka yangu?" nikamwambia "
 Kwani kaka yako akiingiza huwa anaachamo alama? Acha ushamba wewe? Haya mambo yapo,kula vitu wewe,hivi unafikiri nikiamua kukuchukia utaishi hapa? Sasa utake utanigonga usitake utanigonga,subir kakao aondoke" akasema " Simamisha gari" akafoka Nikasimamisha gari pembeni ya bara bara,nikashangaa akinivutoa kwake kisha akaleta mdomo kwangu na kulazimisha denda. " Utaacha lini ujinga huu shem?
" nikasema " Sasa sikia,nataka unipe denda kwa kupenda kwako kwa dakika tatu mfululizo,kama hutaki tukirudi nyumbani nitamwambia kakako kuwa ulikuwa unanishika mapaja tukiwa kwenye gari na unaniambia akiondoka utanibaka" akasema Nikashikwa na mshangao!!!!! Utam ndo kwanzaaaaa umeanza usikae mbali na eneo husika.

ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.