YALIYOJIRI KWA PICHA KWENYE TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 JIJINI DARWasanii wa muziki wa kizazi kipya Lina na Amin wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2013  jijini dar usiku wa kuamkia leo
Amini akiwa kwa stage na Barnaba
Recho pamoja na madansa wake wakiwapagawisha mashabiki kwenye Tamasha la Seregeti Fiesta 2013 lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club
Recho akiwa na Mwanadada Ray C baada ya kupotea muda mrefu kwenye jukwaa la Fiesta 

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Prezidaa wa Bendi ya Malaika, Christian Bella  akiwapagawisha mashabiki kwenye Serengeti Fiesta 2013 iliyofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club

Snura 'Mamaa Majanga' akionyesha mbwembwe zake jukwaani.

Shilole akiwapagawisha mashabiki kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 lillofanyika kwenye viwanja vya Leader Club

Umati mkubwa wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013 iliyofanyika usiku wa kuamkia lea kwenye viwanja vya Leaders Club

Umati mkubwa wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013 iliyofanyika usiku wa kuamkia lea kwenye viwanja vya Leaders Club
Msanii Hamis Baba 'H-Baba' akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.
Umati mkubwa wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013 iliyofanyika usiku wa kuamkia lea kwenye viwanja vya Leaders Club
TMK Wanaume Halisi kazini.

Umati mkubwa wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013 iliyofanyika usiku wa kuamkia lea kwenye viwanja vya Leaders Club

PICHA NA AHMAD MICHUZI
Post a Comment
Powered by Blogger.