YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA JAJI MSTAAFU E.L. MWAIPOPO

h 161 66918
Mh Jaji  kiongozi mahakama kuu Fakih Jundu akitoa salamu.
003 ae049
Mpiganaji wa Mjengwa Blog na Kwanza Jamii, Lukelo Mkami Mwipopo ambaye ni mtoto wa mdogo wa Marehemu,  Marehemu Ben Mkami Mwipopo akisalimiana na watoto wa marehemu mara baada ya mwili wa marehemu kuwasili kijijini Ibatu wilayani Mufindi tayari kwa mazishi
004 4ed11

Mjane wa marehemu Jaji mstaafu akifarijiwa ndugu zake walipo wasili na mwili wa Marehemu Kijijini Ibatu
h 168 e9f94Mmoja wa majaji walioshiriki mazishi akiaga kwa mwili wa marehemu
h 325 99169Askari wakitoa heshima mbele ya kwa kupiga risasi ewani baada ya kukamilisha kuweka mwili wa marehemu kwenye nyumba yake ya milele
MAJAJI 280 f1f84Waheshimiwa majaji wakitoa jeneza la Marehemu tayari kwenda kusaliwa katika eneo liliondaliwa kwa ibada
MAJAJI 289 ee4c2
MAJAJI 292 a430b
Sehemu ya watu walioshiriki ibada ya kumuombea marehemu
MAJAJI 297 1590aKatibu mkuu kiongozi mstaafu Philemon Luhanjo(kushoto) akifuatilia misa ya kumuombea marehemu 


Historia Fupi ya Marehemu

Marehemu alizaliwa 6 oct-1946 kijiji cha Ibatu kata ya Igowole Tarafa ya kasanga Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa.
Elimu ya awali 1-3 malangali centra.
111-1V- Shule ya msingi ihanga  Malangali  1956-1957
1958-1962, aliendelea na masomo ya Darasa la v-111.
1963-1966, secondary 1-1V, Rungwe alliance Tukuyu Mbeya.
1967-1968 , secondary V-V1- Ilboru Lutherani Arusha.
Chuokikuu Dar es salaamu Shahada ya Sheria (LL.B) 1969- 1972.
Ajira serikalini machi 1972. State Attorney.
1975-1977 wakili wa serikali ofisi ya mwanasheria wa serikali.
Aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama kuu  julai 1991 na 1994 na 1999 alikuwa jaji mfawidhi Mahakama kuu kanda ya Mbeya.
1999-2007 alikuwa mwenyekiti wa Mahakama ya kazi na 2007 tena aliteuliwa kuwa Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Mpaka alipo staafu  06-oct 2010.
Aliteuliwa kuwa kamishna wa Tume ya kurekebisha Sheria Tanzania kazi aliyoifanya mpaka mauti yanamkuta.
Mpaka alipopata ajali ya Gari Tar 03 Apr 2013. majira ya saa saba mchana eneo la Doma akitokea Iringa kuelekea Dar na kufariki Dunia .

Uongozi wa PAMOJAPURE BLOG unaungana na familia ya marehemu Katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao Jaji Mstaafu E.L Mwipopo
Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe.


PICHA NI KWA HISANI YA MJENGWA
Post a Comment
Powered by Blogger.