YALIYOJIRI KWENYE KESI YA LWAKATARE LEO MAHAKAMANI KWA PICHA

 Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa wafuasi wa chama chake wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
 Askari wa mbwa wakiimarisha ulinzi wakati wa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Askari wa mbwa wakiimarisha ulinzi wakati wa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
  Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa na mtuhumiwa mwenzake, Ludovick Joseph wakiingia mahakamani leo.
 Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa na mtuhumiwa mwenzake, Ludovick Joseph wakiingia mahakamani leo.

 Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa wafuasi wa chama chake wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
 Ulizi ulikuwani wakutosha
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiteta jambo na mke wa Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare.(Picha zote na Habari Mseto Blog)
 
 Polisi wakisindikiza msafara wa gari lililompakia Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare kuelekea mahabusu hadi April 3 mwaka huu.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
 
Wafuasi wa Chadema wakiwa  wamekusanyika nje ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Post a Comment
Powered by Blogger.