MAZISHI YA MAREHEMU SHARO MILIONEA YAFANYIKA LEO MCHANA R.I.P BROTHER

                   Mama Mzazi wa Marehemu
                                                   
         Nape akizungumza na wananchi waliofika katika msiba huo.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.


 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele 
Umati wa watu walioudhuri kwenye  msiba wa Marehemu Sharo Milionea
Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishini

 
Baadhi ya watu wakiwa wamepanda juu ya mnazi ili kuona vizuri mazishi ya marehemu Sharo Milionea
Post a Comment
Powered by Blogger.